Mkaguzi wa ndege, Makhid Towillo, akiwasilisha mada katika mkutano wa wadau wa usafiri wa anga, wa maboresho wa mambo ya usalama wa sekta ya usafiri wa Anga nchini, wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika leo, jijini Dar es Salaam, ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) na kufunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Fadhili Manongi (hayupo pichani) Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali jinsi ya kuboresha usalama wa usafiri wa anga pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa sekta hiyo. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Baadhi ya wadau wa mkutano wa maboresho wa mambo ya usalama wa sekta ya usafiri wa Anga nchini, wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika leo, jijini Dar es Salaam, ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) na kufunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Fadhili Manongi (hayupo pichani) Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali jinsi ya kuboresha usalama wa usafiri wa anga pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa sekta hiyo. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Mkaguzi Mkuu anayeshughulikia masuala ya ajali za usafiri wa ndege kutoka Wizara ya Uchukuzi, John Nyamwihura, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali ya usalama na ajali za ndege nchini katika mkutano huo wa siku moja wa wadau wa usafiri salama wa sekta ya anga.
Baadhi ya wadau wa mkutano wa maboresho wa mambo ya usalama wa sekta ya usafiri wa Anga nchini wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika leo.
No comments:
Post a Comment