Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM, Temeke Pius Seleman, 'Pukapuka' akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa Umoja huo Wilaya ya Temeke, Athumani Nyamlani, jijini Dar es salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Sandali Bw. Ramadhani Mgomi. Na Mpiga picha Wetu
Mzumbe Ndaki ya Mbeya Yafanya Mahafali ya 24 ya Chuo
-
CHUO Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, kimekamilisha ujenzi wa zahanati ya
kisasa iliyogharimu shilingi 465,706,251.70, ambayo sasa imeanza kutoa
huduma za afy...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment