Boti ya SKAGET ambayo ni mali ya kampuni ya SEAGULL, ikizama baharini huko Kisiwa cha Chumbe karibu kabisa na Visiwa vya Zanzibar muda mfupi baada ya kuondoka bandari ya Dar es Salam ikiwa na abiria wanaokadiriwa kufikia 250 waliokuwa wakisafiri kwenda mjini Zanzibar.
Hii ndiyo Boti iliyoelezwa kuzama huko kisiwa cha Chumbe kilometa chache kutoka mjini Zanzibar, Boti hii imezama katika maeneo hayo wakati ikiwa njiani kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea mjini Zanzibar, ambapo imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kuzidi kwa abiria. Hapa ikiwa katika bandari ya Dar es Salaam ikipakia abiria kabla ya kuanza safari.
No comments:
Post a Comment