Habari za Punde

*BREAKING NEEEEEWZ!!! BOT YA SEA GAL INAZAMA KLM CHACHE KUTOKA UNGUJA

Mfano wa meli inayozama.

Habari zilizoufikia mtandao huu wa www.sufianimafoto.blogspot.com, zinasema kuwa Boti ya Sea Gal, inazama katika moja kisiwa kilicho karibu na kilometa chache kutoka Kisiwa cha Unguja, hivi sasa tayari Boti  tatu za Kilimanjaro zimefika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada wa kuokoa watu mahala hapo. Lakini habari zisizothibitihswa mpaka sasa zinasema kuwa wengine kati ya waliopo eneo hilo wanasema kuwa boti hiyo inawaka moto na wengine wakisema kuwa inazama. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.