Mabomu ya machozi yameanza kurindima tangu mida ya saa kumi na mbili kasoro baada ya askari wa kuuliza ghasia kujipanga katika mtaa wa Kikwajuni kuwazuia wanaharakati wa kundi la Uamsho waliokuwa wakiandamana na mabango yao kinyume na utaratibu, ambapo milio kadhaa ya mabomu imekuwa ikisikika mpaka sasa.
MBUNGE LIWAKA AWAHAKIKISHIA MAMALISHE KUTATULIWA CHANGAMOTO ZA MAJI, MASOKO
NA MIKOPO
-
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Fadhili Liwaka, amewahakikishia mama lishe
wa jimbo hilo kuwa atashughulikia changamoto zinazowakabili zikiwemo
upatikanaj...
2 minutes ago
No comments:
Post a Comment