Marehemu Belinda J. Mwapinga enzi za uhai wake.
Baba Padre akitoa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa Belinda. J. Mwapinga jana katika Kanisa la Katoliki Extenal Dar es salaam.
Joseph Mwapinga mwenye suti nyeusi akiwa na watoto wake alio achiwa na mke wake kipenzi Belinda.
Hawa ni baadhi ya waombolezaji waliohudhuria kwenye safari ya mwisho ya Belinda.
Mhandisi Joseph Mwapinga, akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la marehemu Mkewe.
Baba Padie akisali sala ya mwisho kwa ajili ya kumuombea Marehemu Belinda J. Mwapinga katika makaburi ya Kinondoni jana. Kulia kwa Padri ni Joseph Mwapinga na mwenye Tshirt nyekundu ni rafiki wa karibu wa familia, Ndugu Stephen Mapunda.
Marehemu Belinda J. Mwapinga alifariki tarehe 20/07/2012 katika Hospitali ya Muhimbili na mazishi yake kufanyika jana Julai 23, katika makaburi ya Kinondoni.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
No comments:
Post a Comment