Habari za Punde

*MAWAKILI WAPYA WAKABIDHIWA VYETI LEO


Baadhi ya Mawakili wakiwa katika sherehe ya kukabidhiwa vyeti vyao baada ya kuhitimu.
 Mdau Mathias Budodi kabla ya kupata nondozzzi
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande akimkabidhi cheti cha uwakili, Mathias Budodi katika sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na mawakili wapya. Mathias Budodi akiwa na ndugu zake baada ya kupata cheti cha uwakili

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.