Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kulia) akipambana na bondia wa Moldova, Vasilii Belous, wakati wa pambano lao la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki inayoendelea jijini London 2012 jana.
Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kulia) akiwa hoi baada ya kuchapwa kirahisi kwa pointi 20-7 dhidi ya bondia wa Moldova, Vasilii Belous, katika pambano la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki inayoendelea jijini London 2012 jana. Picha: REUTERS
No comments:
Post a Comment