Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Ali Mohamed Shein, (wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi na wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete pemba jana.
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika chakula cha Futari waliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba jana. Pichana Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment