Dereva wa Bajaji akijitetea kwa askari wa usalama Barabarani, baada ya kugongana na Pikipiki katika Barabra ya Bagamoyo eneo la Lugalo jijini Dar es Salaam jana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AAGIZA MKANDARASI KUKAMATWA NA KUZUIA HATI YAKE
-
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba,
ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia
hati ya kusa...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment