Badhi ya Wanachama wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuchagua viongozi wao leo. Mkutano huo mpaka sasa bado unaendelea katika hatua ya kuhesabiwa kura ambapo matokeo rasmi yanatarajia kutolewa baada ya kumalizika kwa zoezi la kuhesabu kura.
NMB yaongeza kasi ya kufadhili biashara za mifugo
-
- Mikopo ya mifugo NMB yavuka Sh180 bilioni.
Ubena Zomozi; Benki ya NMB imetoa zaidi ya Sh180 bilioni kufadhili wafugaji
na biashara katika mnyororo wa tha...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment