Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde (152) na Mbela (37).
Wito Watolewa kwa Wanasiasa Kulinda Amani, Kuepuka Kauli za Uchochezi
-
Amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa ni tunu muhimu zinazopaswa kulindwa
na kila Mtanzania, huku viongozi wa vyama vya siasa wakitakiwa kuwa mstari
wa...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment