Askari wa Jeshi la Nchi ya Brazil, wakiwa na Vifaru vya kivita nje ya Kumbi za mikutano, ulipokuwa ukifanyika mkutano wa kimataifa wa Mazingira Rio+20, uliomalizika miezi miwili iliyopita nchini humo. Hali kama hii inakuja wakati nchi ikiwa katika hali tete ambapo nchi hulazimika kuwalinda raia wake na wageni wote wanaofika nchini kwao kwa wakati huo, sasa mkutano kama huu ambao pia umewahi kufanyika katika nchi tofauti ambazo hazikuandaaa ulinzi kama huu vipi nchini Brazil? hii inaonyesha na kuashiria nini? na ukiachilia mbali vifaru hivi, mahala hapa kulikuwa na askari wenye silaha za kivika kila kona na magari ya kivita na vifaa mbalimbali vya kivita.
UMUHIMU WA MALEZI BORA KWA WATOTO
-
Sajenti Emmanuel Kisiri ambae ni polisi kata wa kata ya Ikoma Wilaya ya
Serengeti Mkoani Mara ameendelea kuihimiza jamii kulinda maadili ya watoto
Akiendel...
26 minutes ago
No comments:
Post a Comment