Katika Jiji hili la Brazil pembezoni mwa barabara zimewekwa barabara za mabasi yaendayo kasi na vituo vya kuvutia vikiwa vimejengwa kila baada kilomita moja. Tanzania ipo siku tutafiki hatua hii midam tayari tumekwishaanza kwa kasi ya ajabu.
KURA NDIO MUHURI UTAKAOTUMIKA KUZIBA KABISA PENGO LA SUKARI!
-
NA MWANDISHI WETU
Tanzania inazidi kuimarisha mkakati wake wa kihistoria wa kujitosheleza kwa
sukari, ikilenga kufuta kabisa utegemezi wa bidhaa hiyo mu...
4 minutes ago
No comments:
Post a Comment