Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akikatiza katika mitaa ya Bamaga jijini Dar es Salaam, huku akiwa amevalia mavazi yake meupe na kofia inayofanana na ya askari wa usalama Barabarani 'Trafic' huku akisikiliza muziki kupitia simu yake.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
11 hours ago

No comments:
Post a Comment