Gari ya Abiria aina ya Isuzu Journey, linalofanya kazi za kusafirisha abiria (Daladala) likiteketea kwa moto jana mchana maeneo ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja na katika ajali hiyo ya moto hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha. Picha na Mpiga Picha wetu
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
6 days ago
No comments:
Post a Comment