*FFU walivyo fanya kweli International African Festival,Tubingen
*Waendelea kutamba na Award ya IDA
FFU wa Ngoma Africa band wameendelea kutesa na kufanya kweli katika maonyesho ya International African Festival, yaliyofanyika mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi.
Maonyesho hayo pia yaliambatana na sherehe za tuzo za

katika kila kona diniani.
Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora Award"
imekabidhiwa kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU,
Wasikilize at www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica
Wasikilize at www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica
No comments:
Post a Comment