Habari za Punde

*SKIN SOLUTIONS NDIO JIBU LA NGOZI YAKO "WAMESHUSHA MZIGO MPYA KWA AJILI YA SIKUKUU YA IDD, WAHI SASA

Wauzaji wa vipodozi vya kisasa na vya aina yake SKIN SOLUTION waliopo Mikocheni kwa Mwinyi jirani na Baraka Plazza jijini Dar es Salaam au zilipokuwa Ofisi za Share Illusion wamekushushia mzigo mpya maalum kwa ajili ya Idd El Fitri.

Nenda Skin Solutions ukayajue mengi na utapata ushauri unaoendana na ngozi yako juu ya kipodozi gani ukitumie na kikufanye upendeze kama ni MAKARI  au OBAGI utajua hapo!!.
Kama kawa Obagi wameongeza za kutosha baada ya za kwanza kumalizika!! uzuri wa wateja wa Skin Solutions wako tayari kutushuhudia mtaona hapa hapa.
 Bidhaa maksusi kwaajili ya kusaidia kuiweka ngozi yako kuwa nyororo na ya kuvutia daima na iliyo na afya. Ununuapo hii unapata vitu kibao kama vile Special daily wash, toner, moisturizer with spf 15. KWA VIPODOZI ZAIDI BOFYA FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.