Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na na Viongozi na wananchi pamoja na Wavuvi wa Kijiji cha Marumbu Wilaya ya Kati Mkoa Kusini Unguja leo, katika Skuli ya Sekondari ya Marumbi, kuhusu tatizo la Mzozo wa Wavuvi wa kijiji hicho kuchukuliwa Boti zao na Wavuvi wa Kijiji cha Chwaka na hatimae kuzichoma Moto boti hizo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Akina mama wa Kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ,alipofika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kuzungumza na Wananchi na Wavuvi katika kijiji hicho leo,kusikiliza kilio chao cha kuchomewa Boti zao mbili.
No comments:
Post a Comment