Habari za Punde

*ILALA YATAMBULISHA 15 WATAKAOPANDA JUKWAANI SEPT 07,

 Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012, Gadner G. Habash, (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounch wakati wa utatambulisho wa warembo 15, watakaoshiriki kwenye fainali ya Redds Miss Ilala 2012, ambapo washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania. (wa pili kulia) ni mmoja wa waratibu wa shindano hilo, Juma Mabakila (kushoto) ni Cylivia Mashuda na (kulia) ni Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao. Warembo hao watashiriki kwenye kinyang,anyiro hicho kitakachofanyika Septemba 7, 2012 kwenye ukumbi wa nyumbani lounch.
 Warembo hao wakiwa katika chumba cha mkutano wakati wa utambulisho wao.
Warembo wanaoshiriki kwenye shindano la Redds Miss Ilala wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mkutano na waandishi wa habari wakati wa  utambulisho, leo. Picha na Intellectuals Communications Limited.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.