Habari za Punde

*MAGDELENE NA WENZAKE WAFURAHIA NDONDO ZA AWALI-CHEKECHEA

 
Agosti 2, 2012 ni siku ya kukumbukwa sana kwa Mtoto huyu, Magdalene Christopher baada ya kuhitimu masomo yake ya Elimu ya awali-Chekechea katika shule ya Brokhouse International School iliyopo Morocco jijini Dar es Salaam na mwakani 2013 anatarajia kuanza darasa la kwanza. Mahafali hayo yalifanyika jana.
Magdalene (kulia) akiwa na rafiki zake wakati wakati wa mahafali yao.
Magdalene akipokea nondo yake ya Chekechea kutoka kwa mgeni rasmi.
Magdalene akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Bwana na Bibi Christopher Makwaia (MK) na shangazi yake katikati baada ya kutunukiwa cheti chake.
 Magdalene akila pozi na wazazi wake.
 Mhitimu Magdalene akipokea zawadi kutoka kwa shangazi yake.
 Jamanieee!! Hili ndiyo ganda langu bana ...
 Magadalene akila pozi na wenzake wakati wakisubiri kukabidhiwa maganda yao.
 Hawa waliwaimbia na kucheza ngoma za asili.
 sasa tupo tayari kupokea vyeti.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.