Mshambuliaji wa timu ya Manchester United, Wayne Rooney (kulia) akipiga shuti mbele ya beki wa Everton, Sylvain Distin, wakati wa mchezo wao wa kwanza kwa timu hiyo wa Ligi Kuu ya England uliochezwa jana usiku. Katika mchezo huo Everton ilishinda bao 1-0. Picha na Andrew Yates (AFP)
Wahitimu wa St. Mary’s Watakiwa Kujiamini na Kuthubutu Kufikia Mafanikio”
-
Na Mwandishi Wetu
MTHIBITI Ubora wa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni, Paschalina Herman Msofeo
amewataka wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment