Warembo watakao wania taji la REDD's Miss Kanda ya Mashariki 2012 watapanda jukwaani Agost 30, 2012 katika Ukumbu wa Usambara Safari Lodge kumsaka Balozi wa Usambara. Wahi tiketi yako sasa ambapo Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala ataongoza mashambulizi kwa kulipamba jukwaa.
Samia aijaza Manoti Stars
-
RAIS Samia Suluhu Hassan ameiwazadia timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’
Sh milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali wa michuano ya Mabingwa wa
Af...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment