| Mwanasheria wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi (kulia) akizungumza na wateja wake, Dar es salaam Katika moja ya mikutano na wakazi hao kuhusu maendeleo ya kesi yao iliyo mahakama kuu ya Tanzania na kwa mujibu wa kesi namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapichwa na mtendaji mkuu wa wakara wa usafiri wa haraka 'DART' kwa wahanga wakapokee fidia zao linakiuka amri ya Mahakama Kuu, iliyotajwa tarehe 28,6,2012 hivyo mnashauliwa kuto tii agizo hilo pia waanga wa bomoa bomoa wanaalifiwa kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili tarehe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi. |
Serikali ya Zanzibar Yaunga Mkono Ripoti ya Jaji Chande, Yaonya Siasa za
Vurugu kwa Vijana
-
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)imesema inaunga mkono ripoti ya Tume
ya Rais ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba
202...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment