Halima Mamuya (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali wastaafu, (kulia) ni Bi. Mwantum Malale na (katikati) ni Bi. Shamim Khan, wakati walipokutana katika moja ya hafla iliyowakutanisha kinamama jijini Dar es Salaam, jana maeneo ya Oysterbay.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
1 week ago

No comments:
Post a Comment