Max Lopez ni msanii chipkuzi kutoka kundi la THT, anakuja na kitu kipya kabisa 'Fikra Yangu'. Max Lopez mwenye umri wa miaka 22 ni mwimbiaji na pia anapiga gitaa. Wadau msanii huyu anahitaji support, Let's support our own.
TWIGA STARS YAFUZU WAFCON 2026 SASA YAKODOLEA MABILIONI YA CAF
-
Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, 'Twiga Stars', imefuzu fainali za Kombe
la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) 2026, kwa jumla wa mabao 3-0
dh...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment