Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri George Mkuchika, Mama Karume, wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Yanga, wakati timu hiyo na baadhi ya viongozi wake walipofika Bungeni mjini Dodoma leo kufuatia mualiko waliopewa na Bunge kwa ajili ya kufika mjengoni hapo kuonyesha Kombe hilo kwa waheshimiwa.
Bank of Africa Tanzania Yatoa Mafunzo ya Fedha kwa Wajasiriamali Dodoma
-
Bank of Africa Tanzania imeandaa warsha kwa ajili ya wajasiriamali iitwayo
SME Clinic ambayo inalenga kutoa elimu ya masuala ya fedha ili kusaidia
ukuaji...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment