Habari za Punde

*LINAH ALIPOFANYA MAKAMUZI NDANI YA CLUB SOLAR LONDON

 Linah katika pose kabla ya kupanda kuwapagawisha Wabongo na watasha jukwaani ndani ya Solar Club London.
 Chris Luv akimtambulisha Linah.
 Ladies full kuwakilisha
 Promoter Chris Luv akipozi na warembo.
 Watu full kushine....
 Moi & amp, Baraka Shelukindo Operations Manager Multichoice Tanzania Ltd.
 
Linah akikamua 
 Watu kibao wakipata raha.
 Yalaiti napenda pasi kifani...ikiwapagawisha vilivyo wabongo.
 Linah akimwaga mistari....
 Watu full kuenjoy.....
 Linah na fan wake wakijiachia....
Uvumilivu ulikuwa kushoto.....
''Karribu sogea kwangu, mbona waniogopa?????''
Makamuzi.....
Watu ni full utulivu kusikiliza mistari....
 Security ilikuwa yakutosha...
 Wakina dada pia walijitokeza kushow support,.....
Yap! kila aliyehudhuria alijichanganya kati kushow lv na Linah.....
 Raha kupendana eeee.....
 Moi with my brother Joseph & his wife aka my wii Vicky.
 Tukiwa katika pose na Linah 
Hawtt couple Mr & Mrs Matondo na Linah
 Watu full kujiachiaaaaaaaaaaaaa
 Jessica nae alikuwepo full kujiachia
 Makamuzi yakiendelea
 Happy people
 Watu walikuwepo kibao kumshow Linah support
 Kitu cha mduara kikiendelea live
Watu tulitokelezajeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.