Pamoja na hali halisi ya maisha halisi ya Mama huyu mwenye watoto sita ambao wengi wao hawawajui Baba zao na hawana uhakika wa kupata elimu na kuwa na maisha yaliyo bora siku za baadaye, Je mwisho wa haya ni nini, kwani watoto hawa wanaendele kukua na kuyaona yanayoendelea katika dunia, nchi na jiji hili la Dar es Salaam.
Je tutarajie nini kwa mtoto anayeishi katika mazingira haya katika maisha yake yote hadi kukua kwake?
No comments:
Post a Comment