Mkurugenzi mpya wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia) akizungumza na Msaidizi wa Heshima wa Balozi wa Mexico Tanzania, Mr. Saboor ( Honorary Consulalte of Mexico Tanzania) alipokwenda kujitambulisha ofisini kwa Mkurugenzi huyo leo, ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya jinsi ya kusaidiana katika nyanja ya habari.Picha na Mwnakombo Jumaa- MAELEZO
Viongozi hao wakipozi kwa picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment