Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, sherehe hizo zilifanyika leo Kilimani Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Fatma Mohamed Said,baada ya kulifungua rasmi jengo jipya la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, liliopo Kilimani Mjini Zanzibar, hafla ya ufunguzi huo ilifanyika leo na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini. Picha na Abdalla Haji Abdalla
No comments:
Post a Comment