Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa akibadilishana mawazo na baadhi Mawaziri wa Mazingira kutoka nchi 53 za Barani Afrika.
Waziri Afisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akimkaribisha Makamu wa Rais wa Muungano wa visiwa vya Comoro Dkt. Fouad Mohdji kwenye hafla mchapalo iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa wageni waliohudhuria mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Mazingira Barani Afrika iliyofanyika Mount Meru Hotel jijini Arusha.
Wageni wa mkutano wa 14 wa mazingira wakibadilishana mawazo katika hafla mchapalo ilyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira.
Mtaalam wa Mawasiliano wa UN Sangita Khadka Bista (wa pili kulia) na baadhi ya wageni waliohudhuria hafla hiyo.
Waziri Afisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dr. Terezya Huvisa akiwa na Makamu wa Rais wa Muungano wa visiwa vya Comoro na Waziri wa Mazingira wa Mali pamoja na Bw. Ishmael Dodoo wa UNDP.
Bw. Ishmael Dodoo wa UNDP na MC Taji Liundi mbele ya Camera ya MO BLOG.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou katika halfa mchapalo iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais iliyofanyika Mount Meru Hotel.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou na mmoja wa mabalozi kutoka Jumuiya ya Ulaya hapa nchini.
Kibo Band ikitoa burudani kwenye halfa mchapalo.
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa na Makamu wa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Dr. Fouad Mohdji na Balozi na Mwambata wa Ubalozi kutoka Jumuiya za Ulaya hapa nchini.
Dr. Alberic Kacou na Mkuu wa Ushirikiano na Ushirikishwaji wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya hapa nchini Bw. Eric Beaume(kushoto) wakibadilishana mawazo na kufurahia jambo kwenye hafla mchapalo iliyofanyika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment