Shindano la kuwasaka Warembo bomba wa Utalii wa Ilala na Kinondoni, litafanyika kesho siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Lamada, iliyopo Ilala Boma kwa viingilio vya Sh.30,000/= VIP na sh. 10,000/= kawaida. Katika shindano hilo kutakuwa na burudani kutoka kwa bendi ya Fm Academia, kundi la Taarab la T-Moto lililo chini ya Amin Salmini, vikundi vya muziki wa asili na wasanii kadhaa wa Bongo Flava.
Kauli ya Padri Kitima yatishia Uponyaji wa Taifa
-
Kauli ya Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri
Charles Kitima,imezua taharuki nchini, ikitafsiriwa na wachambuzi wengi
kama kaul...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment