Mshambuliaji wa timu ya Mundu Fc, Mfanyeje Ndalo (katikati) akichuana kuwania mpira na mabeki wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Visiwani, inayodhaminiwa na Kinywaji cha Grand Malt, uliochezwa kwenye Uwanja wa Amani, mjini Zanzibar jana. Katika mchezo huo timu ya Mtende iliibuka na ushindi wa mabao 2 - 0.
Mshambuliaji wa mundu, Mfanyeje Ndalo akimiliki mpira mbele ya walinzi wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde.
Mshambuliaji wa Mundu, Ibrahim Rajab (mbele) akimtoka beki wa Mtende, Ali Salum wa Mtende, wakati wa mchezo huo, jana. Picha zote na Martine Kabemba
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment