Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Daraja la Kigamboni katika hafla iliyofanyika huko Kurasini jijini Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk Ramadhani Dau. NSSF itagharamia asilimia 60 za ujenzi wa daraja hilo na serikali asilimia 40. (Picha na Freddy Maro)
VIJANA KIBAHA WAPONGEZA HOTUBA YA NANAUKA, WAOMBA USIMAMIZI KATIKA MIKOPO,
AJIRA NA MFUMO WA PORTAL
-
Mwamvua Mwinyi, Kibaha April 22,2026
Baadhi ya vijana wameeleza kuwa licha ya Serikali kuwasilisha taarifa ya
utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya vij...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment