Mkurugenzi wa BMP Promotions inayoandaa shindano la Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto) akikabidhi Sh. Laki 7 kwa mshindi wa nne wa shindano hilo, Jesca Haule, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jnana jijini Dar es Salaa.
Mkurugenzi wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto) akikabidhi Sh. Milioni 1 kwa mshindi wa shindano hilo, Edda Slyvester katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi yake Dar es Salaam, jana. Picha na Richard Mwaikenda-Jambo Leo
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment