Habari za Punde

*WATANZANIA WAISHIO UJERUMANI KUFANYA MKUTANO MKUU JUMAMOSI YA 29.09.2012 MJINI FRANKFURT, UJERUMANI


UNION OF TANZANIANS IN GERMANY MKTANO MKUU 20.SEP. 2012
Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU)  Unapenda kuwakaribisha  wanachama wote wa UTU, Katika Mkutano mkuu wa UTU. Utakaofanyika Katika ukumbi Uliopo Ringstr. 109, 65479 Raunheim).  Siku ya Tarehe 29.09.2012, Kuanzia saa 08:00 Mchana. Tunawaomba wanachama wote  wa UTU mhudhurie katika mkutano huu muhimu. Na kwa wale ambao sio wanachaama na wanahitaji kujiunga na UTU, tuandikie barua pepe kamati.utu@googlemail.com au unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti kupitia simu ya mkononi. 0173-4298997 Karibuni sana
Ili uweze kupiga au kupigiwa kura inabidi uwe umelipia ada ya Kiingilio cha uwanachama, na uwe umelipa  ada ya uwanachama wa mwaka mzima.
Bank Informations
Union of Tanzania in German e.V
Acc. No.59641
BLZ 71160161
VR BANK Rosenheim-Chiemsee eG
 
MALAZI:
Malazi yatapatikana Hotel Attachè Raunheim) http://www.attache.de/de
Angalia details zote ta hoteli hii kwenye attachment niliyoambatanisha. Hoteli iko karibu na Ukumbi wa Mkutano, ni karibu dakika 10 hivi kwa mguu.
Address ni: Hotel Attachè, Frankfurterstr. 34, 65479 Raunheim Tel: 06142-2040, e-Mail: welcome@attache.de

Uzuri ni kuwa bei hii nafuu tumepewa sisi Watanzania kwa ajili ya Kikao hiki, kwa hivyo kila atakayefanya booking lazima ajitambulishe kwa kutumia (TANZANIA ORGANISATION - cc. Dr. Majura)  Ningependekeza mbali na kufanya booking moja kwa moja, ingefaa pia wamjulishe Bw. Majura kuwa wamefanya booking ili tuwe na orodha kamili.
kiwa watakuwepo watu wengi wa kutosha, basi tutapewa Hotel nzima kama ifutavyo:

8-    Single Bedroom    (Watu 8)           -   Euro 50,- kila chumba
11- Double Bedrooms (Watu 22)        -   Euro 50,- kila chumba
4-   Three Bedrooms    (Watu 12)        -   Euro 65,. kila chumba
4-   Small Double Bedrooms (Watu8) -  Euro 50,- kila chumba 
Break First ni Extra
 
Mit Auto von allen Richtungen:
Von Dortmund kommend Ausfahrt 35-Gambacher Kreuz in A5Richtung Basel/Frankfurt/Wiesbaden einfädeln
 
Bei Ausfahrt 22 in A3 Richtung Köln/Wiesbaden/Mainz einfädeln
 
Rechts halten auf E42 (Schilder nach Mönchhof-Dreieck/A67/B43/Darmstadt/Mainz/Rüsselsheim/Raunheim)
 
München kommend, Rechts abbiegen auf A3 Richtung Frankfurt Flughafen.  Rechts halten auf E42 (Schilder nach Mönchhof-Dreieck/A67/B43/Darmstadt/Mainz/Rüsselsheim/Raunheim)
 
Von Stuttgart/Mannheim/Darmstadt kommend: Bei Gabelung rechts halten, Schildern nach A67/Köln/Wiesbaden/Hannover/Frankfurtfolgen und A67 nehmen.  Ausfahrt 1-Mönchhof-Dreieck links nach A3Richtung Köln/Wiesbaden/Hannover/Dortmund/Raunheim nehmen. Rechts halten auf E42 (Schilder nach Mönchhof-Dreieck/A67/B43/Darmstadt/Mainz/Rüsselsheim/Raunheim)
 
Von Köln/Bonn kommend: am Wiesbadener Kreuz weiter Richtung Flughafen – Achtung! Rechts halten bis Ausfahrt 48-Mönchhof-Dreieck auf A67/B43 in Richtung Basel/Stuttgart/Darmstadt/Raunheim fahren – Ausfahrt Rüsselsheim/Raunheim
 
 
 Bei Ausfahrt 48 in B43 Richtung Flörsheim einfädeln
600 m
 
Achtung!!! Ausfahrt Richtung Raunheim
190 m
Bei Gabelung links halten und weiter Richtung Kelsterbacher Straße
350 m
Links halten auf Frankfurter Straße
170 m
Weiter auf Mainzer Straße
300 m
Links abbiegen auf Ludwigstraße
450m
Rechts abbiegen auf Forsthausstraße
300 m
Weiter auf Ringstraße und Links vor dem neuen Rathaus/Teegut ist das Ziel auf dem großen Parkplatz
50m
Das Rotes Gebäude hinter dem neuen Rathaus „Am Stadtzentrum 2A-2B“
ist Konferenzraum „Kinosaal“
 
Mit SB 8 und SB 9 von Frankfurt HB/Flughafen - Raunheim Bahnhof:
Von Frankfurt HB – Bis Raunheim ist 20 Minute
Von Flughafen – Bis Raunheim ist 8 Minute
Direkt von der SB auf Bahnhofstraße – bis ca 50meter
 
Links abbiegen auf Forsthausstraße
300 m
Weiter auf Ringstraße und Links vor dem neuen Rathaus ist das Ziel. 
Das Rotes Gebäude hinter dem neuen Rathaus „Am Stadtzentrum 2A-2B“ ist Konferenzraum „Kinosaal“

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.