Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, leo jioni imeanza Ligi kuu ya Tanzania Bara kwa kutoka droo ya bila kufungana na Prisons ya jijini Mbeya, katika mchezo wao uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini humo.
SERIKALI YATAKA WANANCHI WAELIMISHWE KUHUSU ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
-
Na Mwandishi Wetu, WMTH-Dodoma
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa
Kairuki (Mb), tarehe 15 Disemba 2025 amefan...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment