| Ofisa wa Kampuni ya Steps Entatainmenti, wasambazaji wa kazi za wasanii, Mbasha Mkilanya (kulia) akigawa sehemu ya vyakula vilivyotolewa na Kampuni ya Steps kwa ajili ya watoto wa shule ya Buguruni Viziwi Malapa Dar es salaam , ambapo Kampuni hiyo imekuwa ikitoa misaada mbalimbali katika shule hiyo kwa ajili ya kuwa karibu na jamii inayowazunguka. picha na Super D |
NSIMBO WACHANGAMKIA MAJIKO YA RUZUKU
-
-Washukuru kufikishiwa majiko banifu kwa bei ya ruzuku
Wananchi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kapalala katika Halmashauri ya
Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment