Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela, akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu maandalizi ya Mkutano Mkuu wa UVCCM. Kulia ni Cosmas Hinju, Mwenyekiti wa Kamati ya habari na mapambo wa maandalizi ya Mkutano huo,
HISPANIA YAICHAPA UFARANSA 2-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA
-
TIMU ya Hispania imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Dunia baada ya
ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ufaransa usiku huu Uwanja wa AT&T Jijini
Arlington...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment