Mshambuliaji wa Jamhuri, Abdalla Othman Ali (kushoto) akijaribu kumpita mlinzi wa Mundu, Patrick James, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt, uliochezwa kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar jana. Katika mchezo huo Jamhuri ilishinda bao 1-0.
JENGO LA UTAWALA MBOGWE LAFIKISHA 68% BAADA YA KUKWAMA KWA MUDA MREFU
-
Kamati ya Siasa na Utekelezaji ya CCM Mkoa wa Geita imeridhishwa na mwendo
wa ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.
Jengo hilo l...
35 minutes ago

No comments:
Post a Comment