Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani,
Mhe. Balozi Demetrios Marantis (kushoto) kwake, aliyefuatana na ujumbe wake, wakati walipofika
Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi
Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa
Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis (wa pili kushoto), aliyefuatana na ujumbe wake, baada ya
mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt.
No comments:
Post a Comment