Habari za Punde

*MAN UNITED 3 BRAGA 2-UEFA CHAMPION

Uefa Champion Ship, Mechi kati ya Man U na Braga, imemalizika huku Mashetani wekundu wakiibuka na ushindi wa mabao 3-2. Braga walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya kwanza tu baada ya mpira kuanza na bao la pili katika dakika za mwanzo, ambapo Man U, waliweza kusawazisha baadaye huku mabao 2 kati ya ma3 yakitupiwa na Chicharito.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.