Mchezo unaendelea katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku timu ya Simba ikiwa mbele kwa bao 1-0, bao lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Amri Kiemba katika dakika ya nne ya kipindi cha kwanza. katika dakika ya 39, Mbuyu Twite, aliachia shuti kali lililogonga mwamba.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment