Mwakilishi Mkazi wa UNOPS Nchini Sierra Leone, Omary Mjenga, akiagana na Balozi wa Marekani Nchini Sierra Leone, Michael Owen, alipomtembelea leo na kufanya mazungumzo naye baada ya kumaliza mazungumzo. Balozi Michael Owen, aliwahi kuwa Naibu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania mnamo mwaka 2001 hadi 2004.
KAMATI YA BUNGE YA PIC YAGUSA MCHANGA UNAOHAMA
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji kwa Umma mwishoni mwa wiki
iliyopita imetembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro ambapo pamoja na mambo
meng...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment