Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA UVCCM MJINI DODOMA LEO

 Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo. 
Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa 2012- 
2017 aliyibuka kidedea leo ni Mhe. JUMA SADIFA.
Makamu Mwenyekiti wake ni:- MBONI MHITA


WAJUMBE WA NEC NI :-
Jery SlaaDeo NdegembiAnthony MavundeJonas NkyaKutokea JF
  Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa akihutubia katika  ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe wa viongozi wa jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki.
 Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa  Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa katika  ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.