Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mradi wa ESBI,pia Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa MCC Johan Swan,wa Ireland(kulia) alipofika kuzindua Ulazaji wa Waya wa Umeme katika ufukwe wa bahari ya Fumba hadi Ras -Kiromoni Tanzania Bara.
Mafundi wakiwa tayari kuanza kazi kwa kutumia Kijiko aina ya Hyundai kikiwa kimezuia Waya wa Umeme kutoka katika fukwe za Fumba,utakaolazwa katikati ya Bahari hadi Ras-Kiromoni Tanzania bara,kazi hiyo itachukua siku kumi na moja,mpaka kumalizika kazi hiyo inayofanywa na Kampuni ya Viscas kutoka nchini Japan. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment