Habari za Punde

*BENKI YA BARCLAYS YATOA SEMINA KWA WATEJA WAKE JIJINI DAR LEO

 Mkuu wa Kitengo cha Matawi wa Barclays, Mussa Kitoi akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
Makamu Mkuu wa ‘Street University’ na Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki ya Barclays Tanznaia kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays Tanzania, Abdul Juma akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
 Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays Tanzania, Abdul Juma (kulia) akizungumza na Mkuu wa ‘Street University’, James Mwang’ata katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa washiriki wa semina liyoandaliwa na Benki ya Barclays Tanzania kwa ajili ya wateja wake wenye akaunti za biashara, Helen Bomani Mkurugenzi wa Kampuni ya W.O.B Ltd ambao ni wasambazaji wa vivywaji vya Serengeti Breweries (SBL) akijitambulisha katika semina hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays Tanzania, Abdul Juma (kulia) akisalimiana na Makamu Mkuu ‘Street University’, Eric Shigongo ambaye pia ni Mkuugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa ‘Street University’, James  Mwang’amba.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.