Habari za Punde

*SEMINA YA VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI

 Katibu Mtendaji  Tume ya Mipango Bi Amina Khamis Shaaban,alipokuwa akitoa mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II,katika  Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,wakati alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,kuiongoza  Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili.                     
  Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,(kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.
Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.