Mwenyekiti mpya kwa mara nyingine wa CCM Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipongezwa na mkewe Mama Salma Kikwete, mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea kwa kura za asilimia 100 katika uchaguzi, uliomalizika hivi punde katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma. Wengine waliotangazwa katika kinyang'anyiro hicho ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti, Zanzibar na Dkt. Ali Mohamed Shein.
MATOKEO YA U-NEC BARA
1. Stephen
Wassira - 2,135
2. January
Makamba – 2,093
3. Mwigulu
Nchemba – 1,967
4. Martine
Shigela – 1,824
5. William
Lukuvi – 1,805
6. Bernard Membe
– 1,455
7. Mathayo David
Mathayo – 1,414
8. Jackson Msome
- 1,207
9. Wilson Mukama
- 1,174
10. Fenela
Mukangara - 984
Mwenyekiti mpya kwa mara nyingine wa CCM Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea kwa kura za asilimia 100 katika uchaguzi, uliomalizika hivi punde katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma.
Mwenyekiti mpya kwa mara nyingine wa CCM Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa Zanzibar, Aman Karume, mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea kwa kura za asilimia 100 katika uchaguzi, uliomalizika hivi punde katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma.
Kikwete, akipongezwa na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu.
Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa kwa mara nyingine, Jakaya Mrisho Kikwete, akifurahia na kucheza kwa furaha baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo na yeye kuibuka kidedea kwa kura za asilimia 100.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, akipita kumpongeza Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete, baada ya kutangazwa matokeo hayo leo katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment